Historia ya Wilaya ya Ngara, utamaduni wa wakazi wa Ngara na chanzo cha jina la kabila la Wahangaza

Bila mto ruvuvu ngara ingekuwa burundi au rwanda,hakuna tofauti ya muha,mhangaza na mrundi
 
Je hao wahangaza na wasubi kabla ya Tanganyika kupata Uhuru tayari walikuepo nchini au walikuja baada maana lugha yao inafanana kabisa na lugha ya wahutu.Na ukizingatia Mara ya baada ya Tanganyika kupata Uhuru mwalimu nyerere alisema kwamba mtu yeyote ambae kabla ya saa 6 usiku wa kuamkia tar 9.12.1961 tayari alikuepo nchini Basi huyo atatambulika kua ni raia wa kuzaliwa.
 
Kuna ardhi yenye rutuba mno, unalima bila mbolea na unapata mahindi, maharage ila wenyeji wa huku ni WAVIVU na WALEVI, wametanguliza starehe mbele, wamo kwenye lindi la umaskini, njaa ni kali.
Kilimo cha migomba na maparachichi kinakubali ila wananchi wa huku hawajui kutumia fursa.
 
Ilikuwa kutia adabu watoto wakorofi kama wewe ulivyokuwa, lakini to be serious haikuwa kwenye makabila tuu, hata dini ukiangalia vizuri nazo zilikuwa na vitu vya kuwaonea wanawake na kuwafanya wako chini, mfano wakatoliki mwanamke hawezi kuwa Padri au askofu, waislam mwanamke sijui hata kama anaweza kuwa kiongozi kama maimamu au masheikh au mufti, mifano ipo mingi, ndio maana naamini haya mambo ya dini ni creation ya mwanadamu tuu
 
Watanzania ndo wanafananaje
Ukipanda basi toka kigoma au ngara mkifika pori fulani nadhani n masumbwe au ushirombo kuna barrier ya uhamiaji,huwa wanasimamisha mabasi na kuangalia sura,wameshakamata wengi sana,mara nyingi hawakosei
 
Watanzania wengi don't reason beyond pua. Kuna mmoja nilimtengezea syllogism hadi akakumbuka.

Hoja yake ilikuwa eti Wahaya ni Waganda kisa tupo mpakani.

Nikamwambia tuassume kwamba kweli ni Waganda.

Tukiassume ni Waganda, mpaka utasogea kwa Wasubi.
Kwa kuwa Wasubi watakuwa mpakani nao watakuwa Waganda.
Mpaka utasogea hadi Usukumani. Nao watakuwa Waganda maana watakuwa mpakani.
Namna hiyo Tanzania nzima itakuwa Uganda.

Conclusion. Ukiona mtu ana argument ya hivyo ujue anakosa akili za kuzaliwa.
 
Ukipanda basi toka kigoma au ngara mkifika pori fulani nadhani n masumbwe au ushirombo kuna barrier ya uhamiaji,huwa wanasimamisha mabasi na kuangalia sura,wameshakamata wengi sana,mara nyingi hawakosei
Wanaangalia physical features za kitusi ambazo zipo predominantly Rwanda. Utanzania ni civil concept. Sio tribal Au physical. Nevertheless ukiwa na hizo features ni rahisi kushukiwa maana Watanzania wengi ni Wanantu with a bia flat nose. Makabila ya kikush kama Tusi na Iraqi wana mwonekano tofauti. Mwonekane pekee doesnt either confirm or deny citizenship. Citizenship in a civil thing.
 

Halafu wahanga wa ubaguzi huo ni watu wa Ngara, karagwe, kasulu, kibondo, buhigwe, lakini mipaka ya namanga, tunduma, kasumulo, tangazo, matambaswala, watu wanatamba tena wanawekeza kabisa lakini mtu akiwa muha, muhangaza, msubi, cha moto atakiona, nadhani ifikie hatua mindset zibadilike naungana na One Africa Movement ya Julius Malema kwa sababu zamani zilikuepo koo na tawala za maeneo haikuepo mipaka, waafrika huteswa na mipaka ya wakoloni, lakini ukienda nchi nyingi za afrika mila, desturi na tamaduni zao zinafanana kabisa kwa asilimia kubwa
 
Sawa,wanaanza na hizo phisical features then you have to prove your citizenship later.
Sometime it works.
Hata wazungu wa spain ni tofauti na wa ujerumani
 
Mtafute mrundi au mnyarwanda mweleze atamke Nne atasema yine, hapo bado waha na wahangaza wa vijijini nao kutamka nne ni mtihani wanatamka nne au neno mtu waha na wahangaza, warundi na wanyarwanda wanatamka Mutu yaani mambo ni vuruvuru
 
Sawa,wanaanza na hizo phisical features then you have to prove your citizenship later.
Sometime it works.
Hata wazungu wa spain ni tofauti na wa
Lakini it's an abusive practice. Kwa upande wao it's stressing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…