PostGE2025 Historia za waraka wa TEC kwa Utawala wa Mkapa na Magufuli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kuna utofauti gani wa kimaisha kati yetu na yenu hapa Bongo? Maana kama umasikini wote sisi ni masikini. Kwa sisi Waislam unaweza kusema labda sababu tumekosa Elimu ya sekula, haya nyinyi mnaoongoza kwa kuwa na maPhD kumikumi mna tofauti gani na sisi kubwa sana. Elimu zenu zimeisaidia nini hii nchi tokea mwaka 1961? Zimefanya nini kikubwa ambacho hakuna Muislam amekifanya hapa Bongo?

Zimebadilisha nini?

Maisha yetu ya dunia kwa hapa Bongo sisi na nyinyi yanafanana tu. Sijaona kikuuubwa mlichokifanya.

Tofauti yetu ni kuwa sisi ni Waislam (tumemuamini Allah na Mtume wake na kuifuata Dini aliyotuletea Allah, Dini ya Mitume wote, Uislam) na nyinyi mmemkufuru, Allah Awaongoze.

Tunamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam. Uislam ndio sababu ya kufaulu kwetu Duniani na Akhera. Tunamuomba Allah Atufishe katika Uislam, Aameen.
 
Muislamu anayetetea Serikali inayoua raia wake, kwa sababu tu kiongozi mkuu wa hiyo Serikali ni muislamu mwenzake amefilisika sana kifikira. Serikali hii imeua watu wa kila dini.
 
Chakushangaza wakati wote huu BAKWATA wlikula buyu.
 
 
Kwenye politics kusimamia haki na usawa, sina deni nao. Hili lilipaswa kuwa bunge kabisa. Pia ni ngumu sana kuwanunua hawa wote.
 



Ni mangapi ukilinganisha na waliyoyatoa wakati wa Mwinyi, Kikwete na wakati wa sasa kwa kila mmoja wao hawa watatu? Pamoja na uzito wa ukosoaji na ukali wali/naouonesha?
 
Ni mangapi ukilinganisha na waliyoyatoa wakati wa Mwinyi, Kikwete na wakati wa sasa kwa kila mmoja wao hawa watatu? Pamoja na uzito wa ukosoaji na ukali wali/naouonesha?
Act kama una kichwa mkuu. Acha uvivu wa kusoma mlitaka matamko makali yaliyotolewa kwenye Era za Wakristo mmepewa sasa hivi mmehamia tena kwengine! Repoti zote zipo Zitafute utazipata Acha Uvivu wa kutafuta majibu na hisia kali..
 
Kwenye politics kusimamia haki na usawa, sina deni nao. Hili lilipaswa kuwa bunge kabisa. Pia ni ngumu sana kuwanunua hawa wote.
Binadamu hawaeleweki wanataka nini! Yaani ni Fujo tu!
 
Hiyo Elimu yao ina msaada gani kwenye nchi hii? Nyinyi makafiri na sisi Waislam ukitazama maisha ya kidunia hapa Bongo kuna tofauti kubwa?
Mkuu we nae kumbe msenge sio!? Sio nyie mnaolaumu sadaka mnapewa 200/500 na mnataka magari na nyumba kama wachungaji!?
 
Shida watu wengi hasa Masheikh wanahisi hii ni ishu ya Kidini, wanadhani everything is against Islam. Picha hizo mbili ni ushahidi tosha ambao unaonesha Wakatoliki hawakuwa na upande wa kupeleka mashambulizi. Magufuli aliwahi kupelekewa moto na Wakatoliki kwa kumtuhumu kuvunja demokrasia na uhuru wa kujieleza.

Kina Mange Kimambi, kina Zitto Kabwe, kina Mbowe.... wote ni wakristo ila Magufuli alipelekewa moto ni hatari.

Mama samia kapelekewa moto kidogo tu Tayari Masheikh wanaanza kutaka kukata waandamanaji vichwa, mara wanasema wakristo hawapendi rais muislamu. Mara wanaaanza kuleta Udini kwenye Siasa, wanasahau hata watu wanaouwawa wengine ni Waislamu wenzao ikiwemo kina Ali Kibao.

So far wakristo hawakuwai kuwa na Udini kipindi chochote ambacho Rais mkristo akiingia, shida hipo kwa hawa wenzetu


 
Mkuu we nae kumbe msenge sio!? Sio nyie mnaolaumu sadaka mnapewa 200/500 na mnataka magari na nyumba kama wachungaji!?
Nauliza tena, kuna tofauti gani katika maisha ya Dunia hapa Bongo kati yetu na nyinyi makafiri? Huko kuwapa magari na majumba wachungaji si katika kuwakamua tu masikini. Hakuna tofauti ya kimaisha kati yetu, kote kuna matajiri na masikini. Hizo elimu zenu zimefanya tofauti gani ya msingi?
 
Act kama una kichwa mkuu. Acha uvivu wa kusoma mlitaka matamko makali yaliyotolewa kwenye Era za Wakristo mmepewa sasa hivi mmehamia tena kwengine! Repoti zote zipo Zitafute utazipata Acha Uvivu wa kutafuta majibu na hisia kali..

Hayo ni matamko makali? Na ni mangapi? Unaweza kuleta matamko kwa kila rais na tulinganishe kuanzia yaliyomo mpaka idadi yake. Tuanze na idadi tu kwa kila rais, leta hapa halafu tukuoneshe msukumo wa udini walionao TEC.
 
Msilalamike na kulia lia kama ******* sasa!!
 
Kitengo Cha spinning Kwa Sasa ni mfu,hakiwezi kabisa kuzima hoja nzito na madai!

Huwezi sema kazi na utu,halafu risasi zitumike kuzima hoja!!

Mungu aibariki Tanzania!!
 
TEC wamekuwa consistent na hii ndio heshima wamejijengea miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…