History Assistant Lecturer

History Assistant Lecturer

GIANT90

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
46
Reaction score
24
Habari wana jamvi!

Naomba kuuliza market availability ya assistant lecturers wa History ukoje? Je endapo mtu ana GPA ya 3.8 undergraduate na 4.5 masters anaweza kupata nafasi mapema kutokana na demand ya wahadhiri wa History?

Au atasugua sana kwa sababu wahadhiri wa somo la History ni wengi sana?

Karibuni kwa mwenye uzoefu, tupeane maarifa na taarifa.
 
Lecturers, Assistant lecturers wa history ni wachache sana ukilinganisha na masomo mengine ya Arts.
 
Back
Top Bottom