Mi ni mwalimu wa somo la Historia kwa shule za secondary,nina nia ya kusaidia jamii kwa kutoa resources na ushauri ktk somo hili,na kwa bahati mzuri nikiwa katika harakati za kutafuta ni wapi nitafanya kazi hii nimekutana na wana jf wanaohitaji msaada huo.
Naomba wadau wa elimu na wa somo la Historia mnipe mawazo yenu juu ya mpangilio bora na ambao utaleta ufanisi ili kufanikisha mpango huu.
Thaxs