History In Photos

History In Photos

US-VIETNAM WAR
Wanajeshi wa US wa 25th Infantry Division wakiangalia miili ya wanajeshi wa Viet Congs. Ni kutokana na mapigano makali ya "Battle of Good Friday" tarehe 12 Aprili 1968.
Screenshot_20230320_160131_Quora.jpg
 
Hivi hii si ndio ilikuwa siku ya mwisho ya vita
Hiyo battle ilianza hapo na beach mbali mbali kama Juno, Omaha, Gold n.k ilikuwa 6 June 1944 hadi 24 July 1944. Ambayo bwana mkubwa Adolf alivamiwa na U.S akiwa na allied wake kama Canada, U.K n.k

Ila kwa habari ya WWII ilianza September mosi 1939 hadi September ya 2 mwaka 1945. Ikitumia miaka 6 na siku 1.
 
June 6 1944 inajulikana kama D day hapo ni Normandy beach. Vita ambayo maelfu ya askari walipoteza maisha.View attachment 2559336
Hapa palipigwa mbungi isiyo ya kawaida aisee
Damu ilimwagika haswa. Into the Jaws of Death[emoji88][emoji88][emoji88]

Nadhani, hii part ndio ipo kwenye SAVING PRIVATE RYAN (Movie)
 
Hapa palipigwa mbungi isiyo ya kawaida aisee
Damu ilimwagika haswa.

Nadhani, hii part ndio ipo kwenye SAVING PRIVATE RYAN (Movie)
No pale ni pengine.

Hii ilikuwa normandy, ufaransa.
Hii ndio ilikuwa siku za mwisho ya vita ya pili, hitler akaweka nguvu zake zote na allied forces nao wakiwa wamejizatiti kwa makundi makubwa, mwishoe wanajeshi wa hitler wakawa wameshindwa,

So hapa ndio mwisho ws vita ndio ukaanzia.
 
Hiyo battle ilianza hapo na beach mbali mbali kama Juno, Omaha, Gold n.k ilikuwa 6 June 1944 hadi 24 July 1944. Ambayo bwana mkubwa Adolf alivamiwa na U.S akiwa na allied wake kama Canada, U.K n.k

Ila kwa habari ya WWII ilianza September mosi 1939 hadi September ya 2 mwaka 1945. Ikitumia miaka 6 na siku 1.
Hii battle ndio ilipelekea mwisho wa vita ya pili
 
Ivi sababu ya wavietnam kufa wengi kama nyuki ilikua ni ipi?
Viet congs walikuwa ni watu ambao sio wa kawaida, spirit yao ilikuwa kubwa zaidi na hawakuwa tayari kuona ile vita na wao wakishindwa. Pia walisapotia na wakomunisti wengine.

So waliendelea kujoin movement sio watoto, sio wadada, sio wazee.

Lakini pia wamarekani hawakutegemea force ile kutoka viet congs, walijua hii vita tunaimaliza sooner or later.

Wanajeshi wa marekani hawakuwa favoured na mazingira ya vietnam. Joto, mvua nzito. Porini, mitego ya viet congs (boobie traps).
Hawa vietcongs wlaijua kila namna ya kumpiga mmarekani katika mapori yao.

So kilichofatia ni mmarekani kufanya bombings sana kuua viet congs na wananchi wa kawaida, na wanajeshi wa marekani kuuliwa sana kwa maana walizidiwa porini na viet congs.

So usa hakutaka kuaibika akawa anaendelea kutuma vijana wanakufa, vietcongs nao hawakutaka kupototeza wakaendelea kujitoa muwanga na kufa. So kilichofatia ni vifo hatari sana.
 
Nataka kujua mwenye, historia ya k. Columbusi aliyekua mpelelezi wa hispania na mfanyabiashara, aliyepata kubuni njia ya kuingilia magharibi, ili kufika uhindi, na hakaona nchi mpya leo amerika.
 
Back
Top Bottom