Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Hivi hii si ndio ilikuwa siku ya mwisho ya vitaJune 6 1944 inajulikana kama D day hapo ni Normandy beach. Vita ambayo maelfu ya askari walipoteza maisha.View attachment 2559336
Hiyo battle ilianza hapo na beach mbali mbali kama Juno, Omaha, Gold n.k ilikuwa 6 June 1944 hadi 24 July 1944. Ambayo bwana mkubwa Adolf alivamiwa na U.S akiwa na allied wake kama Canada, U.K n.kHivi hii si ndio ilikuwa siku ya mwisho ya vita
Hapa palipigwa mbungi isiyo ya kawaida aiseeJune 6 1944 inajulikana kama D day hapo ni Normandy beach. Vita ambayo maelfu ya askari walipoteza maisha.View attachment 2559336
No pale ni pengine.Hapa palipigwa mbungi isiyo ya kawaida aisee
Damu ilimwagika haswa.
Nadhani, hii part ndio ipo kwenye SAVING PRIVATE RYAN (Movie)
Hii battle ndio ilipelekea mwisho wa vita ya piliHiyo battle ilianza hapo na beach mbali mbali kama Juno, Omaha, Gold n.k ilikuwa 6 June 1944 hadi 24 July 1944. Ambayo bwana mkubwa Adolf alivamiwa na U.S akiwa na allied wake kama Canada, U.K n.k
Ila kwa habari ya WWII ilianza September mosi 1939 hadi September ya 2 mwaka 1945. Ikitumia miaka 6 na siku 1.
Ivi sababu ya wavietnam kufa wengi kama nyuki ilikua ni ipi?US-VIETNAM WAR
Wanajeshi wa US wa 25th Infantry Division wakiangalia miili ya wanajeshi wa Viet Congs. Ni kutokana na mapigano makali ya "Battle of Good Friday" tarehe 12 Aprili 1968.View attachment 2559306
Viet congs walikuwa ni watu ambao sio wa kawaida, spirit yao ilikuwa kubwa zaidi na hawakuwa tayari kuona ile vita na wao wakishindwa. Pia walisapotia na wakomunisti wengine.Ivi sababu ya wavietnam kufa wengi kama nyuki ilikua ni ipi?
Hahaha dah hii ni kweli? Kama ni kweli basi n.korea ni wajeuri sana hahahaha
Nataka kujua mwenye, historia ya k. Columbusi aliyekua mpelelezi wa hispania na mfanyabiashara, aliyepata kubuni njia ya kuingilia magharibi, ili kufika uhindi, na hakaona nchi mpya leo amerika.