Hit songs za kibongo yaani za kwetu

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,314
Reaction score
5,150
Hello jamii forum wote,
Natumai mu wazima,kwa wale walio log in hapa jf wakiwa na msongo wa mawazo ,basi tuzidi kumuomba MUNGU kila kitu kitakuwa sawa

Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu

Kwenye mada,moja kwa moja niseme tu kuwa nafuatilia muziki duniani kote,pia na hapa nyumbani hata Kama wasanii bado hawajatukata kiu.

Yaani kutoa hit songs fulani hivi zenye kugusa akili za watanzania bado naendelea kuwasapoti m

Tutafanyaje sasa,ndiyo uzalendo wenyewe,siwezi kujivunia nyimbo za Wizkid,burna boy,Olakira

Au nisafiri zaidi nianze kumsapoti
Ed Sheeran na jimbo lake la perfect

Hapana naanza kuwasapoti Hawa Hawa wa utu na utulivu sijui ukigeuka nyuma Kuna gidigigi yaani fujo tupu

Cha ajabu bado siwezi kuwaacha Hawa kina Tembo na nyimbo zao za kusifia matajiri ili tu apate Kiki mjini

Mtu unasikiliza wimbo then aibu tupu masikini

Msijali wadau na wapenzi wa muziki mzuri bado watunzi na wasanii wakali wapo.tatizo nyota

Ni sawa na kulima zao bila kusoma soko utasifiwa tu lakini faida hakuna

Enjoy wimbo wa Belle 9 wala hauna siku nyingi bado wa Moto unaitwa

Nampenda.

Si kazi yangu kuupandisha hapa nendeni YouTube na digital platform huko
 
Hit songs na zenye ujumbe zilikuwepo zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…