Hitaji la-mercury nyeupe

Hitaji la-mercury nyeupe

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
kwa mwenye mercury nyeupe naihitaji kwaajili ya small scale GOLD mining..au hata maelekezo jinsi yakuipata kwa haraka..
#NAWASILISHA
 
Hii bidhaa ni sumu. Huwezi kuimiliki mpaka uwe na kibali cha Wizara ya Nishati na Madini. Nenda wizarani ukalipie kibali, watakuonesha wapi pa kuipata!

Pamoja na madhara yake ni ugonjwa wa saratani. HANDLE WITH CARE!
 
Back
Top Bottom