lossoJR JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,711 Reaction score 2,384 Aug 15, 2013 #1 kwa mwenye mercury nyeupe naihitaji kwaajili ya small scale GOLD mining..au hata maelekezo jinsi yakuipata kwa haraka.. #NAWASILISHA
kwa mwenye mercury nyeupe naihitaji kwaajili ya small scale GOLD mining..au hata maelekezo jinsi yakuipata kwa haraka.. #NAWASILISHA
MwanaHaki R I P Joined Oct 17, 2006 Posts 2,401 Reaction score 707 Aug 17, 2013 #2 Hii bidhaa ni sumu. Huwezi kuimiliki mpaka uwe na kibali cha Wizara ya Nishati na Madini. Nenda wizarani ukalipie kibali, watakuonesha wapi pa kuipata! Pamoja na madhara yake ni ugonjwa wa saratani. HANDLE WITH CARE!
Hii bidhaa ni sumu. Huwezi kuimiliki mpaka uwe na kibali cha Wizara ya Nishati na Madini. Nenda wizarani ukalipie kibali, watakuonesha wapi pa kuipata! Pamoja na madhara yake ni ugonjwa wa saratani. HANDLE WITH CARE!