tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Dalali labda nusu bei.Jamani sie madalali simtatuua njaa[emoji31]
Dalali labda nusu bei.
Subiri miujiza kupata hiyo nyumba bila dalali. Kwanza sijakuelew kichwa cha habari kimesema nyumba inauzwa mara unandugu yako anatafuta nyumba HOW[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Habarini wanaJF kuna ndugu yangu anahitaji nyumba maeneo ya kimara iwe na vyunba viwili vya kulala,sebule ,jiko na choo luku ya peke yake maji hakiwa ya kushea sio mbaya iwe na fance na parking na angependa kuhamia mwezi wa kwanza isiwe mbali na barabara.bei 250000. DALALI HKUBALIKI LABDA KWA NUSU BEI. TTukutane PM
hujawahi sikia kuhusu typing error wewe ni house for rent. Na nitapata nyumba ndipo utakapo shangaaSubiri miujiza kupata hiyo nyumba bila dalali. Kwanza sijakuelew kichwa cha habari kimesema nyumba inauzwa mara unandugu yako anatafuta nyumba HOW[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ndugu yangu ndio anaetafuta ningekuwa dalali singesema dalali haitajiki na kama ningekuwa dalali ningempa deal akanipa commission yangu JIONGEZEWe utakuwa dalali pia....weka mambo wazi
Ova
.....acha kuendekeza njaa;kwahiyo unataka kumpiga wewe ndugu yako cha udalali!...Ndugu yangu ndio anaetafuta ningekuwa dalali singesema dalali haitajiki na kama ningekuwa dalali ningempa deal akanipa commission yangu JIONGEZE
Ndugu yangu ndio anaetafuta ningekuwa dalali singesema dalali haitajiki na kama ningekuwa dalali ningempa deal akanipa commission yangu JIONGEZE
Tusipimane imani kama huna cha kusaidia kaa kimya......acha kuendekeza njaa;kwahiyo unataka kumpiga wewe ndugu yako cha udalali!...
..aliefika kiwango cha kuafford 250k pango hawezi kuwa na hizi pigo unazoleta wewe!
....hili jukwaa ni biashara tu humu;ukitaka kusaidiwa nenda Mombasa!Tusipimane imani kama huna cha kusaidia kaa kimya.