Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Nahitaji binti awe tayari kuwa rafiki yangu ili kwanza tufamiane kwa kina na kama mbeleni tutapendezana then twaweza kuwa wachumba.
MUHIMU:
-kwa wale wadada wasiokuwa na nia ya mapenzi ya kweli na wale wanaotaka kupretend ili kukidhi vigezo, pliiz naomba msichukue nafasi hii.
-kwa wale wadada wenye mtazamo zaidi wa kidunia: ningependa kuwajulisha kuwa mimi sio mrefu sana, sina six packs, siendeshi gari na sina pesa za kukidhi raha za dunia.
UHALISIA:
Mimi kijana mwenye simple lifestyle, elimu ya degree, mjasiriamali mdogo na ninayeamini kuwa yesu kristo ndiye mwokozi wa maisha yangu.
VIGEZO:
1: Muonekano
-awe na umri usiopungua 18 na usizidi 25.
-shepu siyo muhimu kwangu ila napendelea mwenye sura nzuri.
2: Imani
-awe mkristo wa dhehebu lolote.
-awe mwenye hofu ya Mungu na kuhudhulia ibada
-asiwe na mizizi ya ushirikina either kwake yeye au kutoka kwa familia yake.
3: Mwenendo na tabia
-asiwe na kiburi, dharau na desturi za uswahili
-asiwe mwenye kupenda maisha yenye gharama kubwa sana
-asiwe na mihemuko ya ngono kupitiliza
4: Ziada
-asiwe anatumia kilevi chochote
-asiwe na mtoto
-mwenye kiwango chochote cha elimu
-asiwe mke wa mtu.
CONCLUSION:
Kama unakidhi na una utayari wa kweli na wenye malengo then waweza kuni-pm na tuachiane contacts zetu ili tuwasiliane kwa kina zaidi.
Karibu!!
Sent using Jamii Forums mobile app