Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 294
habar zenu wapendwa wangu wa hili jamvi tamu la jf, matumain mpo poa mi pia niko bomba niliwakumbuka sana
Issue ni kuwa kuna jambo huwa linanitatiza kidogo hapa kuwa mapenz huwa yanahitaji nn jaman,msichana anaweza kumuacha mwenye pesa kwenda kwa fukara, mvulana anaweza kumuacha msichana mzuri na kwenda kwa ngumbaru, masikin wakiachana tunasema pesa, matajiri je huwa nn? na pia wasichana wazur huwa mara nyingi hwadumu na wapenz, wapo maskin wa kike kwa waume wanaopendwa na matajir, sielewi hili jaman naombeni ufumbuzi kidogo kuwa mapenz au hili yadumu yanahiaji kuwepo na nn