Hitilafu ya Pantoni Kigamboni

Hitilafu ya Pantoni Kigamboni

TikTok2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
1,816
Reaction score
3,150
Wanajamvi

Leo wakazi wa Kigamboni wameteseka sana baada ya Mv Kazi kushindwa kufanya kazi baada ya kuegeshwa vibaya kwenye gati.

Sijui ni lini Temesa wataboresha huduma katika kivuko hicho maana kila siku kero.

IMG-20230504-WA0001.jpg
 
Wanajamvi

Leo wakazi wa Kigamboni wameteseka sana baada ya Mv Kazi kushindwa kufanya kazi baada ya kuegeshwa vibaya kwenye gati.

Sijui ni lini Temesa wataboresha huduma katika kivuko hicho maana kila siku kero.

View attachment 2609269
Hujumaa! Na ni Mama ndiyo ana hujumiwa nawaambia kweli Mtakuja niambia siku moja tukikutana! hadi kwenye umeme kwa Wakazi wa Kigamboni ni kero tupu,mgao si mgao, short si short,na kitu kizuri wahusika wapo na wanajua tatizo lakini wamekaa kimya nao wanaangalia Kama nyinyi! Sasa wwe Ni Nani upige kelelee usikilizwe!!?
 
Huko hakuna binadamu, binadamu wapo Benjamin Mkapa, umeme umekatika watu wamesimamishwa kazi, huko mtajijua.
 
Hapo Kigamboni ni Govt tu haijaamua kulitatua hilo SUALA kama ilivyo kawaida yao..
Wawape sekta binafsi waone kama hiyo shida itabaki..
 
Hujumaa! Na ni Mama ndiyo ana hujumiwa nawaambia kweli Mtakuja niambia siku moja tukikutana! hadi kwenye umeme kwa Wakazi wa Kigamboni ni kero tupu,mgao si mgao, short si short,na kitu kizuri wahusika wapo na wanajua tatizo lakini wamekaa kimya nao wanaangalia Kama nyinyi! Sasa wwe Ni Nani upige kelelee usikilizwe!!?
Uliona wakichokuwa wanafanya jana tanesco?
 
Jana Tanesco ilikuwa ni washa zima washa zima, washa zima ,washa zima sijui shida ilikuwa ni nini[emoji1745]
Mi niliwapigia call center yao,wakatuma mafundi,na mafundi kuja wanasema eti wako wanarekebisha transformer linazidiwa na wateja! Nchi ngumu sana hii!!
 
Yani kila nikiona ile kero ya pantoni na wakazi wake , naona bora nijikalie zangu kibamba tu.
Labda nitapapenda nikizeeka
 
Back
Top Bottom