TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Hujumaa! Na ni Mama ndiyo ana hujumiwa nawaambia kweli Mtakuja niambia siku moja tukikutana! hadi kwenye umeme kwa Wakazi wa Kigamboni ni kero tupu,mgao si mgao, short si short,na kitu kizuri wahusika wapo na wanajua tatizo lakini wamekaa kimya nao wanaangalia Kama nyinyi! Sasa wwe Ni Nani upige kelelee usikilizwe!!?Wanajamvi
Leo wakazi wa Kigamboni wameteseka sana baada ya Mv Kazi kushindwa kufanya kazi baada ya kuegeshwa vibaya kwenye gati.
Sijui ni lini Temesa wataboresha huduma katika kivuko hicho maana kila siku kero.
View attachment 2609269
Huko hakuna binadamu, binadamu wapo Benjamin Mkapa, umeme umekatika watu wamesimamishwa kazi, huko mtajijua.Hujumaa! Na ni Mama ndiyo ana hujumiwa nawaambia kweli Mtakuja niambia siku moja tukikutana! hadi kwenye umeme kwa Wakazi wa Kigamboni ni kero tupu,mgao si mgao, short si short,na kitu kizuri wahusika wapo na wanajua tatizo lakini wamekaa kimya nao wanaangalia Kama nyinyi! Sasa wwe Ni Nani upige kelelee usikilizwe!!?
Yaani!wwe achaa tu,dawa ni kuhamia Masaki nijipitie zangu daraja la Tanzanite bureeee, bila mafoleni ya Malori na Vivuko!!!Huko hakuna binadamu, binadamu wapo Benjamin Mkapa, umeme umekatika watu wamesimamishwa kazi, huko mtajijua.
Isimamishwe kazi...MV kazi, imeshindwa kufanya kazi.
Tatizo eneo lipo karibu na Ikulu,kuwapa watu binafsi ni hatari kwa usalama wa Nchi!!Hapo Kigamboni ni Govt tu haijaamua kulitatua hilo SUALA kama ilivyo kawaida yao..
Wawape sekta binafsi waone kama hiyo shida itabaki..
TEMESA ni donda ndugu lililokosa tiba watu wako kazini kwa mazoeaWanajamvi
Leo wakazi wa Kigamboni wameteseka sana baada ya Mv Kazi kushindwa kufanya kazi baada ya kuegeshwa vibaya kwenye gati.
Sijui ni lini Temesa wataboresha huduma katika kivuko hicho maana kila siku kero.
View attachment 2609269
Uliona wakichokuwa wanafanya jana tanesco?Hujumaa! Na ni Mama ndiyo ana hujumiwa nawaambia kweli Mtakuja niambia siku moja tukikutana! hadi kwenye umeme kwa Wakazi wa Kigamboni ni kero tupu,mgao si mgao, short si short,na kitu kizuri wahusika wapo na wanajua tatizo lakini wamekaa kimya nao wanaangalia Kama nyinyi! Sasa wwe Ni Nani upige kelelee usikilizwe!!?
SanaLikitajwa swala la kivuko namkumbuka Jiwe aliwahi kusema "Pigeni mbizi"
Ila halikuwa tatizo la ubovu wa kivuko.
Yule jamaa tutamkumbuka kwa mengi sana.
Kabisa hawana ubunifu kila siku ni BAUTEMESA ni donda ndugu lililokosa tiba watu wako kazini kwa mazoea
Jana Tanesco ilikuwa ni washa zima washa zima, washa zima ,washa zima sijui shida ilikuwa ni niniš¤·Uliona wakichokuwa wanafanya jana tanesco?
Yani ndani ya dakika 7 wamekata na kurudisha mara 10Jana Tanesco ilikuwa ni washa zima washa zima, washa zima ,washa zima sijui shida ilikuwa ni nini[emoji1745]
Mi niliwapigia call center yao,wakatuma mafundi,na mafundi kuja wanasema eti wako wanarekebisha transformer linazidiwa na wateja! Nchi ngumu sana hii!!Jana Tanesco ilikuwa ni washa zima washa zima, washa zima ,washa zima sijui shida ilikuwa ni nini[emoji1745]