Leo ndo pazia la ile ligi maarufu duniani (hapa kuna wanaopenda kuita ligi bora) linafungwa rasmi.Hii ndo ligi inayofuatiliwa na watu wengi Tanzania na duniani kwa ujumla.
Toka ilipoanza Agosti mwaka jana,ni mengi yametokea.Hatimaye Chelsea wametawazwa mabigwa,man city wakachukua nafasi ya pili huku arsenal na man u wkimaliza nafasi za nne za juu kwa mfuatano huu.
Kila mdau atakuwa na lake aliloliona kwa kipindi hicho chote,ikiwa ndo siku ya mwisho,na wewe unaweza kutushirikisha ni nini unaweza kukumbuka cha kipekee kwenye msimu huu?