Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Nasikia mlishaanza kushona suti za kwenda kombe la Dunia[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nacheka kwa dharau, kombe la Dunia my foot!
 
Wamtafute Aveva na Manara wawafundishe jinsi ya kucheza mpira wa meza/kukata rufaa.
 
Wale wazee wa busara ukiwauliza watakuambieni, vijana wametimiza wajibu wao kwa taifa ila sisi wazazi wao ndio tuna laana ya matendo yetu. Hakika nchi hii ya wala rambirambi furaha tutaisikia tu kwa wenzetu sisi acha tubaki na hapakazituu! Manina.
 
Mimi wala sijahuzunika sana kwa matokeo haya. Kinachonihuzunisha mimi mpaka leo sijui ni utaratibu gani ulitumika kutengeneza kikosi cha vijana (Serengeti Boys), nilisikia tu tuna kikosi cha vijana chini ya miaka 17 wamekwenda India kupiga kambi, mpaka leo sijui hawa Boys walichukuliwa kutoka wapi?
 
utaratibi ni huu
Kwanza hakuna mwenye umri chini ya 18 pale.

Kinacho fanyika, wanatafuta vijana mtaani na kuwatengenezea fake birth certificate na wengine wanahonga kuingia kwenye kikosi ili watoke.

Ukiangalia utakuta vijana wengi ni wa dar .

Kikubwa vile vijeba vimeokotwa tuu mtaani, hakuna mwanafunzi hata mmoja pale.
 
Kama hujui si uulize fala wewe... Bytheway si lazima kila kitu kikuhusu..
 
Tabutupu, kama huo ndiyo utaratibu tumevuna tulichopanda. Nakubaliana na wewe wengi pale ni vijana wa Dar... Utaratibu wa kutengeneza kikosi ulikuwa mbovu. Mafanikio ya mchezo wa mpira hayahitaji kujuana, yanahitaji maandalizi.
 
Kama attitude ninayoona humu ndiyo ya watanzania wote kuhusu mpira, tujipe muda tena kupiga hatua.
 
kwanza karibia yote yale ni vijeba watupu, wawili au watatu tuu ndiyo under 18yrs
 
Mnakumbuka team inayoitwa Mali U17? Serengeti boys kumbe walinitahidi kwa match yao ya kwanza na Mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…