Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 267
Niliongea na Malinzi juu ya hili kwenye twita tangu jana, wasidefend kama walivyocheza na Mali.
Ila ndroo itapatikana coz they have to attack now and Niger has to defend.
I don't see it coming, watoto wana pressure, hawatuliinaamini sare tutapata
let's waitI don't see it coming, watoto wana pressure, hawatulii
NdioJamani serengeti wakifungwa 1 - 0 watatoka au?
Fafanua... How!??Ndio