BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
.Tuachane na haya mambo ya michezo,tujishughulishe na kilimo tu sasa.
Acheni Majungu... Vijana wamepiganaKocha wa Serengeti Boys mbwembwe nyingiiiiii,
Badala kupanga Winning team olioichapa Angola.Eti anasema anafanya mabadiliko ili kuweka nguvu ya mechi za mbele
Hii akili kweli?we hujapita buado halafu unaangalia mbele.
Makocha wa Kitanzania bado saaana.
Aliyofanya Mkwasa ndio ameyofanya kocha wa Serengeti Boys.
Acheni wenye kujua wastahiki kushinda,watu wamewekeza kwenye soka la watoto,sio sie team inachangiwa kama yatima
V.wonderTuachane na haya mambo ya michezo,tujishughulishe na kilimo tu sasa.
tumepita wapi?Tumepita
Kama tulochangoa fedha za kuendea kombe la dunia, tutazielekeza kwenyw ujenzi wa uwanja huko Katavi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Kilimo kipi? Cha kutegemea mvua ya Mungu?
Tanzania kichwa cha mwendawazimu. Hasa hasa ukiangalia dereva wa nchi kwa sasa utakubaliana.