Oloronyo
Member
- Mar 29, 2009
- 80
- 9
Erooo Wana JF! Nilikuwa Umasaini kwa muda,na nimerejea mjini.
Nina swali nataka uliza hii kampuni HiTS Tanzania ambayo ipo chini ya Excellentcom (T) Ltd Kulikoniiiii?😕 Mlisema mtaanza huduma mwanzoni mwa mwaka huu 2009 kimya?😕Mwezi wa tano 2009 kimya?😕 Kulikoniii? TCRA kuna lolote la kutueleza?