Erooo Wana JF! Nilikuwa Umasaini kwa muda,na nimerejea mjini.
Nina swali nataka uliza hii kampuni HiTS Tanzania ambayo ipo chini ya Excellentcom (T) Ltd Kulikoniiiii?π Mlisema mtaanza huduma mwanzoni mwa mwaka huu 2009 kimya?πMwezi wa tano 2009 kimya?π Kulikoniii? TCRA kuna lolote la kutueleza?