kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 186 Aug 30, 2010 #1 hawa jamaa nimesikia wamerudi kwenye soko la telecoms, vipi hawana nafasi za ajira? maana sijasikia, au ndio wanachakachua
hawa jamaa nimesikia wamerudi kwenye soko la telecoms, vipi hawana nafasi za ajira? maana sijasikia, au ndio wanachakachua
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Aug 30, 2010 #2 wapo wapi hawa jamaa? i mean ofisi zao na contacts et all
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Aug 30, 2010 #3 Msanii said: wapo wapi hawa jamaa? i mean ofisi zao na contacts et all Click to expand... kumbe mnawakumbuka ONYO ANGALIEN MSIACHE NAFASI ZENU ZA KAZI;;AITAMANIKI HII
Msanii said: wapo wapi hawa jamaa? i mean ofisi zao na contacts et all Click to expand... kumbe mnawakumbuka ONYO ANGALIEN MSIACHE NAFASI ZENU ZA KAZI;;AITAMANIKI HII
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Aug 30, 2010 #4 kipipili said: hawa jamaa nimesikia wamerudi kwenye soko la telecoms, vipi hawana nafasi za ajira? maana sijasikia, au ndio wanachakachua Click to expand... Mkuu mi nilivyoanza kusoma heading nikajua unamimina hapa jukwaani nafasi za kazi walizotazitagaza Hits. Kumbe!!
kipipili said: hawa jamaa nimesikia wamerudi kwenye soko la telecoms, vipi hawana nafasi za ajira? maana sijasikia, au ndio wanachakachua Click to expand... Mkuu mi nilivyoanza kusoma heading nikajua unamimina hapa jukwaani nafasi za kazi walizotazitagaza Hits. Kumbe!!