...mbona inasemekana hii HITS imeuzwa kwa Orange,hata Uganda ilikuwa ianze nasikia wameuza kwa Orange haohao
source?
ndio maana mleta mada akaita ni tetesi!!! i like that maana inajibu ubishi woteHivi ninyi ambao kila kikiwekwa kitu mnahoji source, mnataka kila mmoja aweke source yake hapa? wengine ni source wao wenyewe na kama utabisha kuna siku watu humu wakijitambulisha wengine mtakataa na kuhoji source ya utambulisho wao.
ina maana hii crisis imeikumba barclays bongo gafla au ni ile expansion plan yake haikuwa sawa!!!!?Mwekezaji wa hits anaelekea kufilisika ktokana na global financial crisis na inasemekana kuwa amefunga matawi yote kasoro nigeria, kuna wafanyakazi wa hits tanzania wameahidiwa ajira nigeria hapo bongo ni likizo na kusubiria wafunge ofisi, mlioko hits jueni hili.
Kuhusu barclays, lets keep our finger crossed, mliosoma east african ya wiki hii, huko barclays wamepunguza lending rate!!! Ina maana wanatoa mikopo kwa mahesabu kwa nini? Jiulizeni
Hivi ninyi ambao kila kikiwekwa kitu mnahoji source, mnataka kila mmoja aweke source yake hapa? wengine ni source wao wenyewe na kama utabisha kuna siku watu humu wakijitambulisha wengine mtakataa na kuhoji source ya utambulisho wao.