Ukweli ni kwamba hakuna ugonjwa utakaoweza kuua vizazi vyote kwani miili ya viumbe inatofautiana kwa mfano
hata watu wote mkiumwa na mbu wenye kuambukiza malaria si wote mtaugua malaria, hivyo hivyo kwa ukimwi si wote wakiambukizwa HIV watapata
UKIMWI umeelewa? Haijathibitishwa kuwa watu wenye aina fulani ya damu ndo hawatapata ukimwi au sikla hawatapata ukimwi
Virusi vina ishi kwenye seli anuai,zaidi nyeupe za damu, sikla wanahitilafu ya seli nyekundu kwa hiyo chansi ya kuugua iko pale pale labda kama wana
kinga ya mfano nliotoa kuhusu malaria