Hiv hiz amount za heslb mbona hamna %....

ndo sehem mtakayoshkiwa enz zet sisi ni asilimia bt nw hata ufaneje ada utalipa
 
Mdogo wangu ushukuru hamna asilimia maana watu walikuwa wanajuta kujua 70% ni kiasi gani. utaratibu huu wa bodi umekomesha boom zenu kuibiwa vyuoni kwani utaweza kufuatia shilingi hadi shilingi. unatakiwa ufurahie utaratibu huo
 
thank u... ila bado cjaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…