Ni jambo zuri...ila kwa nchi zetu hizi ambazo maisha yametujaza msongo wa mawazo hili linawezaje kufanikiwa tukitaka kulijaribu...kama mtu anaenda VCT na kukimbia majibu itakuaje kujipima home?Katika kuhabarishana kinachoendelea kuhusu HIV ni kuwa wenzetu katika nchi zilizoendelea wameanzisha utaratibu wa kuwapa raia home test kit ili wa kipimo wenyewe nyumbani.
Kit inakuja na maelezo ya nini cha kufanya kama majibu yako wa + pia maelezo kuhusu tiba iliyoko sasa na kuwa daktari atakufahamisha zaidi.
Pia wagonjwa wote wanao kwenda Accident and Emergency wanashauriwa kupima HIV.
Hii ni katika kiti hasa la kufikia pengo la WHO kuwa ifikapo 2020 waathirika wote wawe kwenye Tina ili kuchibiti maambukizi mapya.
Hivi unajua kuwa HIV ni kirusi ambacho hakijagunduliwa na vipimo (test) zake huonesha matokeo tofauti kwa mtu huyo nyakati na mahali tofauti?Katika kuhabarishana kinachoendelea kuhusu HIV ni kuwa wenzetu katika nchi zilizoendelea wameanzisha utaratibu wa kuwapa raia home test kit ili wa kipimo wenyewe nyumbani.
...
Vinatolewa bure mkuuHivi unajua kuwa HIV ni kirusi ambacho hakijagunduliwa na vipimo (test) zake huonesha matokeo tofauti kwa mtu huyo nyakati na mahali tofauti?
Usipoteze muda na fedha zako kununua kitu kisichotoa majibu ya uhakika kwa kupima kitu kisichikuwepo.
Na hiyo ndiyo mbaya zaidi kwa kuwa unajipima na kujipatia majibu yasiyo sahihi. Isitoshe, je, dawa za kufanyia vipimo nazo zinatolewa bure?Vinatolewa bure mkuu
Kila la kheri aliye tayari kujidanganya akachukue lakini awe pia tayari kupokea matokeo ya uamuzi wake wa kuwa na hicho kipimo na ya kujipima.Kila kitu ni bure mkuu
Imefikia hatua gani ?Tiba ipo mkuu sema haijafika kwenye unponaji kabisa
Ukimwi hauenezwi kwa kungonoka tu.Tuache kungonoka
Katika kuhabarishana kinachoendelea kuhusu HIV ni kuwa wenzetu katika nchi zilizoendelea wameanzisha utaratibu wa kuwapa raia home test kit ili wa kipimo wenyewe nyumbani.
Kit inakuja na maelezo ya nini cha kufanya kama majibu yako yakiwa + pia maelezo kuhusu tiba iliyoko sasa na kuwa daktari atakufahamisha zaidi.
Pia wagonjwa wote wanao kwenda Accident and Emergency wanashauriwa kupima HIV.
Hii ni katika kufikia lengo la WHO kuwa ifikapo 2020 waathirika wote wawe kwenye tiba ili kuchibiti maambukizi mapya.