Hi wadau, mie sijui ndo kusema sijapata elimu ya ukimwi kisawasawa ama vipi, yaani nina mgeni nyumbani kwangu ambae ni ndugu na ana mtoto mdogo sasa wote wapo positive yaani yeye/mama na mtoto wake, sasa namie nina mtoto mdogo 4years ambae tangu wageni hao waje amekuwa kicheza sana na yule mtoto mgeni ambaye naye ana HIV,
Sasa juzi nimeishiwa nguvu nakuta wanalishana pipi yaan hiyo pipi ilikuwa ya yule mtoto mgonjwa kwahiyo analamba huyu then analamba huyu!
yaani nina mawazo saana maana nafikiria sijui nifanyeje maana kumtoa mgeni ngumu na mtoto wangu nae anasoma so kumtoa naye changamoto, sasa nisaidieni hapo*mambukizi yanakuwaje na je kuchangia sabuni ya kuogea napo vipi, sorry kwa nitakaowakwaza kwa swali ukweli ni kuwa sielewi*