Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Msameheme tuInauzwa kariakoo
Hehehehehe halaf atakwambia yeye ni bingwa wa kubetMsameheme tu
maana m-bet anachanganya humo humo na mkeka bet ili apate app moja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Inauzwa kariakoo
Ngoja tusubiri akiipata na sisi atueleze tupate maujuzi.Hehehehehe halaf atakwambia yeye ni bingwa wa kubet
Anataka mkekabet
Duu mkuu sehemu gani hiyoInauzwa kariakoo
ShimoniDuu mkuu sehemu gani hiyo
[emoji23] [emoji23] mkuu simanishi hivo mbonaMsameheme tu
maana m-bet anachanganya humo humo na mkeka bet ili apate app moja.
Mkuu asante sana [emoji120]