Ombenikhalungu
Member
- Nov 19, 2013
- 96
- 47
Jaman hii ni kwa watumidhi wale wrnye uelewa na hili jambo tu. Kama huelewi naomba ukae kimya.
Juz nilifika ktk ofisi za halmashauri ninayofanyia kazi na kuuliza iwapo nitapata salary slip zangu za mishahara ya mwezi wa saba na miezi iliyopita, ila nilibiwa kua, kuanzia mwezi wa saba na kuendelea, yaani wa nane na tisa salary slip inatakiwa tudownload.
Ila sikupewa link wa sikuambiwa hiyo link inapatikana wap.
Sasa jamani kwa mwenye uelewa wa hii kitu naomba msaada ili niweze kuelewa zaidi.
Na kama link ipo mwenye nayo ninaiomba maana ninashida na salary slip.
Sent using Jamii Forums mobile app