HIV positive discodant:msaada wa kitaalam au uzoefu tafadhali

HIV positive discodant:msaada wa kitaalam au uzoefu tafadhali

mayoscissors

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2009
Posts
975
Reaction score
478
Wana JF,
kwa wanandoa au wapenzi ambao mmoja kaathirika na virusi vya ukimwi(vvu) je wakiendelea kujamiana bila kinga nafasi ya kupata virusi ambaye ni negative ni kubwa kiasi gani?
Naomba majibu kwa madaktari wazoefu na pia wanandoa wenye hali kama hii.
asanteni
 
wengi wao huwa haweakubali kuendelea kushiriki.........

na wanaoshiriki wengi wao wanatumia condom............(sijajibu kitaalamu km ulivyoomba lakini)
 
Wana jf,
kwa wanandoa au wapenzi ambao mmoja kaathirika na virusi vya ukimwi(vvu) je wakiendelea kujamiana bila kinga nafasi ya kupata virusi ambaye ni negative ni kubwa kiasi gani?
Naomba majibu kwa madaktari wazoefu na pia wanandoa wenye hali kama hii.
asanteni

Kujamiiana na mwenza mwenye HIV uwezekano wa kupata maambukizi ni ni zaidi ya asilimia sitini, haishauriwi kitaalamu kufanya hivyo kabisa
 
Back
Top Bottom