YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Hivi vidude sio vya kuviamin sana mnaweza kuuwana bure. Cha msingi nenda kapime hospital kwenye wataalam.
umeona eeeeehWewe itakuwa kuna kitu unakitafuta,kilishaonyesha yuko salama sasa unaangalia mara ya pili ya nini mkuu...?
Wewe itakuwa kuna kitu unakitafuta,kilishaonyesha yuko salama sasa unaangalia mara ya pili ya nini mkuu...?
Yaani ulimpima yeye tu na wewe hukupima au mlipimana?
Umekula Chakula Cha Mchana
Unapenda Sana Kuloweka Wewe Siyo Bure
ππ πππ[emoji3][emoji3] ndio first love so tulikua tunachek kwanza
Ha ha ha haWewe itakuwa kuna kitu unakitafuta,kilishaonyesha yuko salama sasa unaangalia mara ya pili ya nini mkuu...?
hivi vipimo vinapatkana wap?Wakuu habari za muda huu!
Leo nimekutana na mkanganyiko wa majibu ya HIV test baada ya kumpima girlfriend wangu...
Kwanza ilionesha Single Line Kwenye Control "C" baada ya dk 5-10 hivii tangia nilivompima.
Nikakiweka pembeni nikapiga nae story lakini nlivoenda kuangalia baada ya dk 70 hivii nikakuta mistari 3 yanii kwenye 1, 2 na C
Wakubwa hapo ina maana gani