HIV rapid test

Snitchertz

Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
26
Reaction score
13
Mambo zenu wanajamvi,

Mimi nataka kujua, kuna hizi test za HIV, wanapima kwa kutumia vikaratasi vya kuchora lines, mfano wa pregnancy test. Ninachotaka kujua, how accurate are they? Kwa walio na experience navyo tafadhali naomba msaada.
 
Mambo zenu wanajamvi,mimi nataka kujua kuna hizi test za HIV,wanapima kwa kutumia vikaratasi vya kuchora lines,mfano wa pregnancy test...
Nachotaka kyjua how much % accuracy they are...?Kwa walio na experience navyo tafadhali naomba msaada.

Majibu Utakayoyapata Hapo Yafanyie Tu Vice Versa!!!!!!!
 
Ngoja nikuitie mtaalam wa kujitegemea akujibu. Subiri papo hapo.

CC; Deception.
 
Last edited by a moderator:
Kuna aina mbili, kuna Bioline ambazo sio accurate sana coz hata ukiwa na malaria sugu inasoma, lkn Determine is very accurate mkuu once it test positive no need to confirm again
 
Determine ikichora mstari mmoja uko negative na ikichora miwili positive
 
Ile inaitwa Determine HIV rapid test ina sensitivity ya 99.4% na specificity ya 99.6% but most of the time majibu yake yakija positive unatakiwa ukacomfirm na kipimo maalum cha HIV unigold standard nadhani nimesomeka mkuu
 
Rapid test DERTAMINE for HIV ni Antibody agenst Antigen test ambazo hizo Antibody huwa zinazalishwa na mtu aliye ambukizwa HIV virus withn three weeks after expouser
 
Nasikia vinauzwa madukani siku hizi. Duka gani naweza kukipata hiki kipimo?
 
Mambo zenu wanajamvi,

Mimi nataka kujua, kuna hizi test za HIV, wanapima kwa kutumia vikaratasi vya kuchora lines, mfano wa pregnancy test. Ninachotaka kujua, how accurate are they? Kwa walio na experience navyo tafadhali naomba msaada.

Kuna jamaa yangu anacho,yeye akimpenda Mdada lazima ampime nacho kwanza kabla ya Kumgegeda!kinatoa majibu ndani ya 15mins.
 
Vipimo hivi mkuu havichukui zaidi ya dk 5 kabla yakutoa majibu
 
Nasikia vinauzwa madukani siku hizi. Duka gani naweza kukipata hiki kipimo?

Hili ndilo lengo lao,yaani mtoke wenyewe mashimoni na mwende kuchukua dawa za ARVs vituo vya afya bila kulazimishwa au kufuatwa na mtu yeyote.Wanahitaji wateja wa ARVs.Sasa watapataje wateja kama watu hawapimi?
 
Mambo zenu wanajamvi,

Mimi nataka kujua, kuna hizi test za HIV, wanapima kwa kutumia vikaratasi vya kuchora lines, mfano wa pregnancy test. Ninachotaka kujua, how accurate are they? Kwa walio na experience navyo tafadhali naomba msaada.

HIV tests are illusions!
Huwezi kuwa na test inayo test kitu kisichokuwepo?
Ni nani anaweza kuniambia ni kitu gani kinasababisha ugonjwa fulani?Obviously hakuna atakayeweza kujibu.Kwa kuwa kitu gani hakiwezi kusababisha ugonjwa fulani.Kama HIV hana uwezo wa kusababisha ukimwi,hivyo basi jina lake halina maana na ni batili.Kupima HIV ni sawa na kutaka kujua rangi ya upepo.
Cha msingi hapa sasa,ni kujiuliza,kama HIV hasababishi ukimwi,je,ukimwi tunaouona unasababishwa na nini?

Jibu lake ni fupi sana lakini linaweza kusababisha mijadala mingi sana na bado watu wasielewe.Jibu lake ni Lifestyle na madawa ya hospitali hasa ARVs.Ukiwa na lifestyle nzuri na uepukane na ARVs huwezi kupata ukimwi maisha yako yote.HIV ni mwamvuli tu ambao umesingiziwa kusababisha magonjwa zaidi ya 30 kama yupo mwilini,lakini kama hayupo mwilini sababu maalam za magonjwa hayo zinahusika zenyewe.
 
So HIV hawasababishi AIDS....they are two different things....
 
Sensitivity Yake Ni 100% specificity Yake 90% so ndo maana hutakiwi kuwa na majibu kwa kutumia kipimo kimoja has a pale inapokuwa positive. Lazima utumie vipimo vya sina mbili ndo uwe na ushahidi wa majibu yako
 
Kuna aina mbili, kuna Bioline ambazo sio accurate sana coz hata ukiwa na malaria sugu inasoma, lkn Determine is very accurate mkuu once it test positive no need to confirm again

una huwakika na uyasemayo..? jaribu kupitia vitabu vyako vizuri mkuu...Determine syo confmatory ya HIV rapid test...bali ungold ndicho chaki confirm kwa level za Health center...ila ukiwa ndani ya window period akiwezi soma +ve...!! ivyo basi kwenye hosptal kubwa wanatumia PCR, ELISA& WESTERN BLOT machine ku confirm..!!
 
Rapid test DERTAMINE for HIV ni Antibody agenst Antigen test ambazo hizo Antibody huwa zinazalishwa na mtu aliye ambukizwa HIV virus withn three weeks after expouser

Hapo hapo naomba majibu, antibodies zinazozalishwa kama response ya HIV infections ni tofauti na antibodies kwa ajili ya viruses wengine?
If yes,mwili wa binadamu unazo aina ngapi za antibodies?
Naomba kufahamishwa
 
safi sana mkuu... ila nina swali; je kama HIV ni kitu hakipo,, hivyo vimstari vinapima nini? kwanini kuwe na negative na positive indication?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…