HIV rapid test

Halafu window period ni 25 days !! si miezi 3 kama zamani
Ile inaitwa Determine HIV rapid test ina sensitivity ya 99.4% na specificity ya 99.6% but most of the time majibu yake yakija positive unatakiwa ukacomfirm na kipimo maalum cha HIV unigold standard nadhani nimesomeka mkuu
 
Kweli kazi ipo, watu wanataka kupora taaluma za wenzao!
 
Dah!!!!! Deception nimebaki na mshangao. But anyway naomba nipite bila kuongeza neno.
 
Hapo hapo naomba majibu, antibodies zinazozalishwa kama response ya HIV infections ni tofauti na antibodies kwa ajili ya viruses wengine?
If yes,mwili wa binadamu unazo aina ngapi za antibodies?
Naomba kufahamishwa

hapana...ila mwilini kuna Immunoglobulin(antbody)5 ambazo ni IgG...IgM...IgE...IgA...IgD kila moja ikiwa na kazi yake na kizuizi chake ...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…