Hiv inaweza kusurvive kwa wiki kadhaa nje ya mwili wa binadamu. Inategemea kiasi cha virusi kilichopo na kiasi cha body fluid ama media iliyomo. Virusi pia vitaathiriwa na temperature (60 C at least ama below -70 C). Kuna issue ya ph pia.
Muhimu ni kuchukua tahadhari, ukiona kiwembe dont take chances. Hakikisha hauchomwi na ncha kali etc. It is too risky.
Kuna papers kwenye net kuhusu hii research, google.
Thank you very much for your professional description. All in all, i come to say that the situation is too tense indeed because even when we use a condom, there's every likelihood for the vaginal fluids to remain on the pubic area like on the penis or thighs. Suppose i engage in safe sex at midnight and then sleeps till morning without a bath. At 09:00am, i take a bath and just half an hour after, i engage in masterbation alone. Shall i be in danger of acquiring hiv?
HIV & AIDS Information :: Body fluids - Survival outside the body
jisomee hapo. Hiv inaweza kuishi hata wiki 4 kwenye syringe iliyotumika.
Kwa sisi tuliyesoma mambo ya microbiology, tunamwelezea kirusi kama ni microbes asiyekufa. Maana yeye huwa anafanya kitu kinaitwa mutation kutokana na mazingira atakayokuwepo. So kama akiwa mahali pakavu ata-mutate na kuwa non-living organism, na akiwa kwenye majimaji atajicondition kuendena na hayo maji maji. Somo kuhusu Virus, siku zote lipo complicated, kwa kuwa wanasayansi wenyewe wanafika mahali fulani wanashindwa kukubaliana kama kirus ni living organism or not, though kwa pamoja wanakubali kwamba kime-contain nuclear materials kama vile RNA. So kisayansi ni vigumu kuprove ni kwa muda gani kirusi kitaishi hasa ukizingatia kina characteristics nyingi za non-living organism than a living organism. Sasa utaniambia non-living organism anasurvive kwa muda gani. Lakini naamini watu wa medicine watakuwa na majibu tofuti. But the best way ni kuwa na precautions za kutosha.