HIV Test

HIV Test

Mlasani

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
113
Reaction score
28
Wadau naombeni kuuliza kuhusu HIV test. Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano kuna Docta anasema kuna HIV determiner yenyewe inadetect HIV after two weeks; kuna nyingine inachukua 3 moths na kuna bab kubwa APR.

kama sikukosea yenyewe hata baada ya siku moja au masaa kadhaa inakuonesha matokeo.

Natumaini JF kuna madoctor pia inapendeza watujuze na sie tufahamu hili suala zima la HIV test! Nice moment to you all brothers and sisters!

NB: Kumbuka kinachoulizwa ni muda ambao HIV inaweza kuwa detected after the infections!
 
Sasa hivi utaalamu kuhusu hiv test upo juu sana kiasi ambacho hata baada ya saa 1 utagundulika kama uko +ve or -ve...

siku za nyuma kutokana na zana kuwa ukimwi ulikuwa tishio upimaji ulikuwa unachukuwa hata siku 90 ili kupata majibu sahihi kiasi ambacho hata ukienda pengine huwezi pata majibu tofauti ,kupima mtu mmoja mara kwa mara ni ili kujiridhisha.

kwa sasa hivi mambo ni tofauti kuna uwezekano ukimwi ukapimwa kwa mate.
 
Mmmm hivi kuna wanaoogopa kupima hiyo kitu bado.
 
Hakuna ya kugundua infection baada ya siku 1. Ya mapema sana ni wiki moja baada ya infection nayo inapima HIV antigen moja kwa moja na sio antibody.

Sorry kama sijaeleweka nita andika kimarefu kesho.
 
Naomba kuuliza wapi unaweza ukapima ukapata majibu yatokanayo name muda mfupi?say one week badala ya kusubiri miezi 3.
 
Back
Top Bottom