HIV test

kidneys

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Experienced doctors na wadau wengine nahitaji kujua hili:- Hivi ni kweli kuna "false positive" ktk HIV TEST. Na je kama ipo hivyo inasababishwa na nini? maana si mnajua stori za vijiweni.
 
nijuavyo ni kwamba kuna "false negative" kutokana na idadi ya virusi kuwa ndogo e.g. umeambukizwa jana, lakini ikitokea ni positive that is it!
NB:mimi sio daktari.
 
Duh,vipi bado upo?Naona unaibua issue moja baada ya nyingine,je unaweza kujibu kuhusu hizo mails unazopata kutoka kwa RA,je kuna ukweli wowote?

+Ve ni matokeo yanayoonyesh kuwa una vimelea vya Virus,.hii inakuja kipind ambacho umesha.vipata, vimezaana na kuanza kusambaa mwilini.

-Ve ni matokeo yanayoonyesha kuwa virusi havionekani kwa reason zifuatavyo either hauna kabsa virusi hivyo au unavyo but havijaanza kuzaana na kusambaa, ndio maana kuconclude kuwa ni negative unaambiwa hurudi tena after miezi mitatu
 
Ndiyo ipo na inasababishwa na makosa mbali mbali yanayoweza kufanywa na wahusika katika hospitali. Ndiyo maana ni vizuri kupima sehemu nyingine mbili tofauti ili kuhakikisha majibu hayo ya +ve ni ya kweli.
 
Pima jf then jaribu nampekuzi.com
 
If ikitokea unawacwac na majb au yamekuja positiv huwa kuna kpmo cha ku confirm kinaitwa Unigold hcho kikixema postv n postv kwel au negatv n negatv kwel....
 
kupima HIV tunatumia HIV kit ambazo zina itwa dertamine and uni gold hivyo huwa tuna anza na dertamine kma ikiwa positive huwa tuna cormfirm kwa kutumia UNI GOLD ambyo ni cormfmatory ya hiv sasa majibu yanaweza kuwa negative.kma mtu yupo window period yan bado maambikiz ya.ukimw.yajasambaa ndo mana ukikuta negative unashauliwa ukapime tena.baada ya miez mitatu


by doctor hellen
 
Vp kuhusu na huyu mtu wanamuita eti Hiv carrear inakuje kuwaje!
 
kwa mtu aliyepima zaidi mara ya sita ndani ya miaka miwili na determiner inatoa majibu + wakati unigold inatoa majibu -, hapa linakuaje?
 
Iko hv determine zko senstive sana unaweza ukawa na magojwa mengne ina react ndo mana wana2mia uni Gold ku confm kuna mgojwa 1 2limpma determine ika react kua n postv but uni ikaxm Negatv kwa hyo jb 2nalochukua n la Uni gold co determine
 
Mfano wa magonjwa ambayo Determiner ni sensitive ni yepi? Na ikiwa inatokea baada ya miaka mitatu vipimo vyote yaani determiner na unigold vinasoma positive na hajawahi kusex na mtu zaidi ya mkewe na huyo mkewe siku zote za vipimo ni negative, hiyo inakuaje?
 
Kidneys iko hv yaan unaweza ukawa unaumwa ugojwa mwngne wa kawaida kabsa xaxa 7babu mwil unakuwa unapambana na ule ugonjwa alaf kumbuka detemne inapma antbody so inaweza ikareact ,ndo maana 2nacormfum na unigold
 
Kwani jamani hapa Tanzania hakujawa na kipimo kinachotoa majibu siku hiyo hiyo?
 
Ata me napenda kuelewa kuhusiana na hili


Kwa ufahamu wangu ni mtu mwenye HIV lakini miaka yote ye huwa haumwi wala hadevelop UKIMWI na anaweza kuwaambukiza wengine pia,wanaugua,wanapona,wanaugua,wanakufa,yeye yupo tu
 
Kwa ufahamu wangu ni mtu mwenye HIV lakini miaka yote ye huwa haumwi wala hadevelop UKIMWI na anaweza kuwaambukiza wengine pia,wanaugua,wanapona,wanaugua,wanakufa,yeye yupo tu

Duuh..ndo hivo. I wish to know more. Inakuwaje had mtu anakuwa ni ceria.je kuna sababu za kisayansi??
 
Kwa ufahamu wangu ni mtu mwenye HIV lakini miaka yote ye huwa haumwi wala hadevelop UKIMWI na anaweza kuwaambukiza wengine pia,wanaugua,wanapona,wanaugua,wanakufa,yeye yupo tu

Duuh thread kama hizi ukiiona wakati ume toka kugegeda halafu hukuaa helment lazima uwe mpole!
 

Ukimwi hauambukizwi kwa sex tu kuna njia nyingi know that.
 

Pia kama walipooana hawakupima hiv ndio hvo yawezekana walioana wakati tayari mme anao au kaupata wakiwa kwenye ndoa ila mke wake atakuwa hana receptor za hiv. Me sio doctor au nurse so huo ndio uelewa wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…