Hiv virus wanaishi kwa mda gani wakiwa nje ya mazingira yao????....msaada

Hiv virus wanaishi kwa mda gani wakiwa nje ya mazingira yao????....msaada

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
217
Hi wana jf

kama kuna vitu huwa sina majibu navyo moja wapo ni hivi ETI HAWA VIRUS WA HIV huishi kwa mda wa masaa mangapi wakiwa nje ya mazingira yao ya kila siku?

2-JE SABUNI ZA KAWAIDA HIZI TUTUMIAZO MAJUMBA ZINAUWEZO WA KUWAANGAMIZA HASA TUSHIKAPO KWA BAHATI MBAYA DAMU YA MWASIRIKA WA HIV???
tafadhali naomba kuwasilish
 
Huwa hawaishi nje ya mazingira yao.

Sabuni tutumiazo nyumbani zinatosha
sana kuwauwa pia unapotumia kwa kunawa.
 
Back
Top Bottom