Hiv wizara ya utumishi wa umma inasomwa lini?

Hiv wizara ya utumishi wa umma inasomwa lini?

MAKAVU LAIVU

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
75
Reaction score
12
maana mm mwalimu mpya nataka kujua wametuongezea asalimia ngap? Ya mshahara wetu naomba msaada wenu wadau
 
Hata mimi nilitaka kuuliza kuwa Management ya utumishi wa umma itawasilisha lini ili japo tujue wameongeza kiasi gani mishahara, pia PAYE imepunguzwa kiasi gani.
 
Ilishasomwa kitambo mpaka tumesahau subir bajeti ya wizara ya fedha tarehe 12\6
 
Back
Top Bottom