herman relay
New Member
- Aug 15, 2012
- 4
- 0
waungwana Masada wa
kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus
vya ukimwi
haswaaa live bila chenga,kiulainiii kama unalia vile,tena docta MziziMkavu atakuelezea vizuri zaidi
Daaaah
Daaaah
waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi
vipi umeshea mswaki na nani?