Hivi airform bado zinatengenezwa

Hivi airform bado zinatengenezwa

Hapa co size yang shule
Za boarding nazskia tu
Kwa wenzang
 
Hahahahhaah ilikua ni mahitaji muhimu saaanaa unapokwenda shule, lazima uwe nazo kadhaaa, wale waliosoma Korogwe Girls, Kifungilo, Mazinde Juu (St.Mary's), Lwandai na Tanga Tech ndio nilikua nawatumia sana huko, ilifika kipindi lazima nipokee hahahahahha, those sweet days
 
Kitu cha airform kwa wasioifahamu!
FB_IMG_1522122397989.jpg
 
Back
Top Bottom