Dont look at death on selfish side......TUPAK SHAKUR
homeboy Nextlevel nae yupo,naona anazipitia tu post
homeboy Nextlevel nae yupo,naona anazipitia tu post
Aliniambia yuko bize anafanya majumuisho ya safari ya Tukuyu.
He is kind of chilling, jana aliweka kambi kwenye ile thread ya Tshalla Muana hadi ilipofungiwa ndo akalog off!!
Alionekana anasindikiza Mzigo (Msichana) mmoja Malawi
yeah!namuaminia sana huyu.Ni mtu wa kutafakari sana.unaweza kuta anazichukua post halafu anazifanyia PARTIAL DERIVATIVE
Ngoja nimforwadie huu ushahidi kwa PM
Hahaha nitamwambia kuna jamaa anatumia ID yangu mpwa! na kumpa maelezo mengi kama ya Ikulu ya Salva Rweyemamu! Atapoa tu
Joyceline! habari yako?
Joyceline! habari yako?
HAHAHAHAHAHAHAH!nimecheka sana mazeya.ikulu is a pool of nadharia
nzuri mambo?
nzuri mambo?