FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
ndo hapo sasa FL,
huyu alikuwa tishio.sasa naona mara ghafla mara ghaflaaaaaaaa!
niliwahi kujiuliza pia kuhusu banza,lakini nilipomwona mwananyamala hosp,niliamua kukaa kimya!
sasa huyu sijui.................
kuna kipindi alikuwa anaumwa mguu alipopona mguu sijui nndo akaishia labda uarabuni au ...waandishi wa habari watutafutie huyu bibie maana ndo kazi yao
kuna kipindi alikuwa anaumwa mguu alipopona mguu sijui nndo akaishia labda uarabuni au ...waandishi wa habari watutafutie huyu bibie maana ndo kazi yao
Mimi ninachowapendea twanga, ni kwamba walikuwa hawanyimani misaada, Aisga ameshapona ila kuna wengine nao sas wanaumwa miguu
...nadhani tatizo liko wazi,
kwa hiyo una maana gani?Nadhani fani ya sanaa hasa muziki na filamu imevamiwa na pepo la ngono.
Bendi ya msondo wamepuputika mpaka imefika mahali ukisikia habari za msiba wa mwanamuziki wala hushangai.
Twanga wanaanza bado tutasika wasanii wa filamu watakavyowapokea msondo kwa kuzikana kila siku.Mbaya ni pale tutakavyodanganywa sababu za kifo,utasikia alikuwa akisumbuliwa na ini mara alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa muda refu kama ni mkristo mnawekewa picha juu ya jeneza?.
kwa hiyo una maana gani?
huyu mchuchu ana ngoma,au?
duh,
i am finished............
Mbona kuna Member wa JF hamuwaaulizii wako wapi?nao ni wagonjwa? kwa mfano.....
Akhera madukaniiii kitambo sana... Udongo ulishakula kichwa siku nyingi tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]huyu mchuchu mimi nilikuwa namzimia sana,na ndio aliyekuwa ananifanya niende kuwaona jamaa wakitumbuiza.yupo wapi huyu mtoto wazee?
au yupo yuropu nin?
kuna jamaa anaitwa Madinda ni dreva wa wizarani, alikuwa mpenzi wake huyu dada.Akhera madukaniiii kitambo sana... Udongo ulishakula kichwa siku nyingi tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Yeahkuna jamaa anaitwa Madinda ni dreva wa wizarani, alikuwa mpenzi wake huyu dada.
Sent using Jamii Forums mobile app