Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hiv?,

Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hiv?,

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hivI?
 
Hao waalimu wapo wengi kiasi gani? Maaana mtu mmoja anauwezo wa kusahihisha karatasi zaidi ya 5000 kwa siku ,, nao wana wasimamizi kibao
 
Kwani bado wanatumia makaratasi mpaka karne hii ya 21?
 
Jamaa hawasahihishi,walikuwa wameshaandaa watu wao,watu wanasema mitihani ilikuwa rahisi lakin wakapata maksi wasizozitarajia

Usahihishe na ujaze maksi kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom