VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Inadaiwa wanatumia computer softwares
Kila karatasi wanatumia muda gani?Hao waalimu wapo wengi kiasi gani? Maaana mtu mmoja anauwezo wa kusahihisha karatasi zaidi ya 5000 kwa siku ,, nao wana wasimamizi kibao
Unajua wasahihishaji wapo wangapi?over
Karatasi zaidi ya 5000 unazijua mkuu?Hao waalimu wapo wengi kiasi gani? Maaana mtu mmoja anauwezo wa kusahihisha karatasi zaidi ya 5000 kwa siku ,, nao wana wasimamizi kibao
Achana na radio mbao.Jamaa hawasahihishi,walikuwa wameshaandaa watu wao,watu wanasema mitihani ilikuwa rahisi lakin wakapata maksi wasizozitarajia
Usahihishe na ujaze maksi kwenye mfumo
Ndio nazijuaKaratasi zaidi ya 5000 unazijua mkuu?
Kwa siku moja?
Wewe umewahi kuuzunguka ?KUZUNGUKA MBUYU