Hivi akili za huyu dereva zipo wapi?

Hivi akili za huyu dereva zipo wapi?

Dereva kama huyu mpaka sasa utakuta hajachukuliwa hatua.
Uyo wa lori kidogo angemchapa makofi ndio maana akatulia zake hapo hapo
Kama nimeona vizuri lile roli upande wa kushoto kama limepaki au limeharibikia sehemu mbaya
 
Kila mmoja anajivunia chake....huyu anajisemea moyoni nimebeba Watu...mwingine anasema mzigo wa tajili lazima ufike kwani na huko kuna watu wengi kuliko walioko kwenye basi wanasubili huduma.....
 
Mhhh huyu naye awe makini,kwamba anahalalisha tukio la yule aliyeuawa na mtalimbo au???
 
Back
Top Bottom