Dooh!Kesi hii ni nzito. Serikali ya JMT kuamua kumshitaki mtu huyu mahakamani haiwezi kuwa ilikurupuka. Na kesi yo yote ikishakuwa mahakamani huwa ni marufuku kuingilia kwa njia yo yote. Sheria huwa inaachiwa ifuate mkondo wake.
Haya aliyoyasema Ole Sendeka si kuingilia kweli kesi iliyoko mahakamani? Kipi kinachomuwasha cha kutaka kesi hiyo isiendelee na mtuhumiwa aachiwe akagombee urais? Atagombeaje wakati chama chake kilishajitoa hadi katiba na sheria zetu zibadilishwe kuingiza yote chama hicho inayoyataka?
Askofu Gwajima kaandamwa kwa kueleza mawazo yake kuhusu utekaji. Haya yalishaelezwa na watu wengi tu hususaniTEC ambao hawakuandamwa na wala siyo kosa. Haya ya Ole Sendeka ni makosa makubwa. Anaingilia kesi iliyoko mahakamani. Anatweza maamuzi ya mamlaka ya serikali ya JMT ya kumfungulia mtu huyo mashitaka mahakamani.
Msikilize hapa kuanzia dakika ya nne. Anataka Tundu Lissu aachiwe huru.Huyo Ole Sendeka amesema nini?
Ukiona hivyo ijue kuna mpango wa kumtoaKesi hii ni nzito. Serikali ya JMT kuamua kumshitaki mtu huyu mahakamani haiwezi kuwa ilikurupuka. Na kesi yo yote ikishakuwa mahakamani huwa ni marufuku kuingilia kwa njia yo yote. Sheria huwa inaachiwa ifuate mkondo wake.
Haya aliyoyasema Ole Sendeka si kuingilia kweli kesi iliyoko mahakamani? Kipi kinachomuwasha cha kutaka kesi hiyo isiendelee na mtuhumiwa aachiwe akagombee urais? Atagombeaje wakati chama chake kilishajitoa hadi katiba na sheria zetu zibadilishwe kuingiza yote chama hicho inayoyataka?
Askofu Gwajima kaandamwa kwa kueleza mawazo yake kuhusu utekaji. Haya yalishaelezwa na watu wengi tu hususaniTEC ambao hawakuandamwa na wala siyo kosa. Haya ya Ole Sendeka ni makosa makubwa. Anaingilia kesi iliyoko mahakamani. Anatweza maamuzi ya mamlaka ya serikali ya JMT ya kumfungulia mtu huyo mashitaka mahakamani.
😀😀Unaonaje ukaenda kumshtaki wewe huko mahakamani? Maana unaonekana umeumia sana.