Hivi Alikiba naye ana bodyguard?

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
533
Reaction score
739
Teh teh teh nauliza tu jamani kama huyu jamaa naye ana bodyguard sababu mara nyingi tunamuona diamond kila anapoenda ni lazima utamuona akiwa na njemba inayomlinda lakini kwa Alikiba sijawahi kumuona hata siku moja akiwa na bodyguard na ndio maana nauliza kama naye ana bodyguard wa kumlinda.
 
Ukiwa karibu na watu haina haja ya ulinzi jamii itakulinda Kiba anacheza mpira kikawaida Mchezaji mpira unakuwa mtu wa masera wote hivyo hakuna wa kukuzingua.

Sasa jamaa mwingine hana zaidi ya mziki kitu cha kumuweka karibu na jamii hivyo masera watakuwa wanammaindi wakikutana lazima watamkwala tu hadi hereni za pua.
 
Mayweather si ni boxer. Bodyguards anawatumia wa nini???
 
Wewe unae? Tehe tehe tehe
 
Acha umbea.si kamuulize mwenyewe.
 
Haya maswal ya ki nafiki na limekaa ki team team
Haya kiongoz wenu "wa-clean" katajwa huko mna habar
 
Mayweather si ni boxer. Bodyguards anawatumia wa nini???
Huko tena inatakiwa huwe nao zaidi na zaidi kutokana na mazingira yao sikiliza music wa Nas - Get yourself a Gun.
 
hua anavuta uradi kila baada ya swala ya asubuh, Mungu ni mlinzi tosha kwake
 
Kwani kuwa na boardguard au kutokuwa naye kunaongeza au kupunguza nini?

Mimi naona ni sifa tu za ajabu kwasababu boardguard hawezi kukuassure full security yako
 
Huwa mwenyew anasema kuwa ALLI ni kipenzi cha watu nadhan ndio sababu asiwe na bodyguard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…