Hivi Alikiba naye ana bodyguard?

Hivi vitu mnavyovuta siku hizi mnachanganya na kinyesi vitawapasua ubongo
 
Wauza unga wa Madale ndio wanaweka ulinzi.
 
Bodyguard anahitaji uwe na hela ili uweze kumlipa....kiba siku moja inshaalah atapata na yeye hela za kuweza kuafford bodyguard!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…