Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi?
Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi dunia ya tatu ni mambuzi jike? Yaani... Hebu vuta picha tu. Sasa kama tumeshawapa hicho cheo tutegemee nini? Wanasema waswahili maneno huumba. Tumewaita hawa matapeli wa rasilimali kuwa ni mabeberu. Unadhani tunachomoka?
Yani rasilimali zetu ndio kama tuko kwenye "heat". Wanapokuja kuxiwinda ndio ile...pata picha beberu na makelele yake mengi.
Hata picha ya juzi ya Ruto na Biden ule ni ubeberu.
Bakita mje na jina lingine kwa hawa imperialists kwa lengo la kupunguza makali. Jina ambalo pia litawatweza kiasi fulani, nasi tupate unasiri wa kuwapuuza na kuwakabili