petrinamwana JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 900 Reaction score 345 Jun 22, 2012 #21 Haha nilipokuwa mdogo nilipig picha nyingi sana za mikogo kuzidi hata huyo dimond hata nyie humu ndni najua mlipiga zingine mlikuwa mnaweka dole ingekuwa sasa nadhani wote mngekuwa freemason
Haha nilipokuwa mdogo nilipig picha nyingi sana za mikogo kuzidi hata huyo dimond hata nyie humu ndni najua mlipiga zingine mlikuwa mnaweka dole ingekuwa sasa nadhani wote mngekuwa freemason