Hivi alternator huwa inafanyiwaga repair au ikiharibika ni kubadilisha TU?

Hivi alternator huwa inafanyiwaga repair au ikiharibika ni kubadilisha TU?

cebran

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
278
Reaction score
684
Nina gari yangu Pajero mini dash board inaonyesha Ile sign ya battery/AT na nimeprove alternator haifanyi kazi maana nikichaji battery gari inatembea mpaka battery inaisha kabisa
Sasa wataalam ninachotaka kufahamu
hivi altenetor inafanyiwaga repaire ? Au ninunue mpya tu
 
Kwa gari ya japan ni bora tu kununua alternator nyingine, upate ya used maana huko kwenye mpya kabisa unaweza kupata ya kichina na isidumu.
Usitengeneze!!!! Labda kama umeambiwa limekufa brush tu.
 
Inatengenezeka,ukipata mafundi umeme waliospecialize kwenye altenetor.
Upo wapi?
 
Alternator inafanyiwa Repair vizur sana. Na Inakua imara kama zamani. Karibu tabta, Karibu 4core power and Machine company Limited kwa huduma ya Alternator yko. Mawasiliano n 0693296809.
 
Inayegemeana na fault na pia inategemeana na mafundi, mimi yangu ilikutana na ubovu mbaya sana ikawa haichaji betri kabisaa yan gari ninya kubusti ila kuna dogo mmoja huyo aliifufua now inapiga mzigo gud kabisaa.
 
Back
Top Bottom